Kassala (jimbo)
From Wikipedia, the free encyclopedia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kassala ni mojawapo ya Wilayat 26 (majimbo) ya Sudan. Lina ukubwa wa eneo la km² 36,710 na idadi ya wakazi wake inakadiriwa kuwa 1,400,000 (2000).
Kassala ndio mji mkuu wa jimbo hili; miji mingine katika Kassala ni pamoja na Aroma, Hamishkoreb, Khor na Telkok].
Katika miaka ya 1990 jimbo liliitwa "ash-sharqiya" (mashariki).
Makala hii kuhusu maeneo ya Sudan bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kassala (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.