Kaloleni pamoja na Kalole ni jina la miji, vijiji na mitaa mbalimbali katika Afrika ya Mashariki na Afrika ya Kusini.
- Kata ya Kaloleni kwenye kaunti ya Kilifi (zamani Wilaya ya Kaloleni) nchini Kenya
- Kata ya Kaloleni katika kaunti ya Kisumu, Kenya
- Kata ya Kaloleni katika kaunti ya Taita-Taveta, Kenya
- Kata ya Kaloleni (Arusha) mjini Arusha katika Tanzania
- Kata ya Kaloleni (Kiteto) kwenye Wilaya ya Kiteto, Mkoa wa Manyara, Tanzania
- Kata ya Kaloleni mjini Moshi katika Tanzania
- Kata ya Kaloleni (Tunduma) kwenye Wilaya ya Tunduma, Mkoa wa Songwe, Tanzania
Wikiwand in your browser!
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.