Frederick I (Kijerumani: Friedrich; 112210 Juni 1190), maarufu kama Frederick Barbarossa kutokana na ndevu zake nyekundu,[1] alikuwa Kaizari ya Dola Takatifu la Kiroma kuanzia 1155 hadi kifo chake wakati wa vita vya msalaba.

Thumb
Sanamu ya dhahabu ya Frederick I (1171).

Kabla ya hapo alikuwa mfalme wa Ujerumani kuanzia 1152 na mfalme wa Italia mwaka 1155.

Halafu alitiwa pia taji la mfalme wa Burgundy, huko Arles tarehe 30 Juni 1178.

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Angalia pia

Wikiwand in your browser!

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.

Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.