From Wikipedia, the free encyclopedia
José Saramago (16 Novemba 1922 - 18 Juni 2010) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Ureno. Baadhi ya maandiko mengine aliandika hasa riwaya. Mwaka wa 1998 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu José Saramago kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.