Remove ads
From Wikipedia, the free encyclopedia
Johann Sebastian Bach (21 Machi 1685 hadi 28 Julai 1750) alikuwa mtungaji wa muziki na mpiga piano na kinanda cha filimbi kutoka nchi ya Ujerumani. Alitunga muziki za aina zote, iliyotumika kidini na kidunia. Alitunga muziki kwa kwaya, chombo kimoja cha muziki, na kundi la wanamuziki (okestra). Ingawa hakuunda mifumo mipya ya muziki, alitajirisha mitindo ya muziki kule Ujerumani; tena alitohoa mitindo ya muziki ya Kiitalia na ya Kifaransa.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.