Jimmy Wales

Mwanzilishi mwenza wa Wikipedia na mjasiriamali wa mtandao wa Marekani From Wikipedia, the free encyclopedia

Jimmy Wales

Jimmy "Jimbo" Donal Wales (amezaliwa 7 Agosti 1966) ni mwanzilishi na ni rais wa sasa wa Wikimedia Foundation. Anafahamika zaidi kama mwanzilishi wa kamusi elezo huru ya Wikipedia. Kwa sasa anaishi mjini St. Petersburg, Florida.

Thumb
Wales akizungumza katika mkutano wa Wikimania wa mwaka wa 2007.

Hapo awali aliunda kamusi elezo huru ya kwanza iliyojulikana kwa jina la Nupedia. Kisha akaanzisha mradi mpya wa Wikipedia, ambayo hapo mwanzo ilibidi uwe moja kati ya miradi ya Nupedia. Badala yake mradi mpya wa Wikipedia ukapata shauku zaidi ukaja kuwa miongoni mwa miradi mikubwa mtandaoni kama ulivyo leo hii.

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.