Mwanasiasa, mwandishi na mshairi wa Afrika Kusini From Wikipedia, the free encyclopedia
Jeremy Cronin (amezaliwa 12 Septemba 1949) ni mwandishi, mwanaharakati na mwanasiasa wa Afrika Kusini. Mwaka wa 1976 alitiwa ndani kwa sababu ya upinzani wake dhidi ya ubaguzi wa rangi. Kitabu chake cha mashairi Inside kilitolewa aliporuhusiwa 1983. Baada ya sera za apartheid kupinduliwa, alikuwa mwanachama wa serikali na kuwa Waziri Kaimu wa Usafiri.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jeremy Cronin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.