Iğdır
From Wikipedia, the free encyclopedia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Iğdır (Kiarmenia: Իգդիր) ni jina la mji mkuu wa Jimbo la Iğdır lililopo mjini Mashariki mwa Mkoa wa Anatolia, Uturuki. Mji umepakana na Armenia, Nakhchevan na Iran. Mpaka wa Armenia una sababishwa na Mto Aras. Mlima mrefu wa Uturuki ni Ağrı Dağı, upo ndani ya jimbo la Iğdır, lakini sehemu kubwa ya ardhi ni tupu ambo iko mbali na eneo la mlima. Mji una wakazi wapatao 119,432 na wengine 75,927 wapo mijini. Mji una eneo la kilomita za mraba zipatazo 1,479.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Iğdır kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.