From Wikipedia, the free encyclopedia
Historia andishi ni kipindi cha historia ya binadamu kuanzia walipobuni uandishi miaka 3,300 hivi KK huko Mesopotamia.
Hatua hiyo imewezesha kutunza kumbukumbu kwa makusudi na hivyo kuchangia sana maendeleo ya fani ya historia.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Historia andishi kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.