From Wikipedia, the free encyclopedia
Henrik Johan Ibsen (*20 Machi 1828 - 23 Mei 1906) alikuwa mwandishi wa Norwei. Aliandika hasa maigizo amesifiwa kimataifa kama "baba wa igizo la kisasa".
Ibsen aheshimiwa kuwa mkubwa kati ya waandishi wote wa Norwei.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Henrik Ibsen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.