From Wikipedia, the free encyclopedia
Heinrich Rohrer (amezaliwa 6 Juni 1933) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uswisi. Baadhi ya utafiti mwingine alichunguza na kubuni hasa aina fulani ya hadubini. Mwaka wa 1986, pamoja na Ernst Ruska na Gerd Binnig alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Heinrich Rohrer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.