Gustav Stresemann
From Wikipedia, the free encyclopedia
Gustav Stresemann (10 Mei 1878 – 3 Oktoba 1929) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Ujerumani. Mwaka wa 1923 alikuwa Waziri Mkuu na kuanzia 1924 hadi 1929 alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje. Mwaka wa 1926, pamoja na Aristide Briand alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel kwa Amani.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Gustav Stresemann kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand in your browser!
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.