Remove ads
From Wikipedia, the free encyclopedia
Gordian III (20 Januari, 225 – 11 Februari, 244) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 29 Julai, 238 hadi kifo chake. Aliwafuata makaizari Pupienus na Balbinus ambao alikuwa ametawala chini yao tangu 22 Aprili, 238. Sababu ya kifo chake haijulikani.
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Gordian III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.