From Wikipedia, the free encyclopedia
Marcus Antonius Gordianus Sempronianus Romanus Africanus au Gordian I (takriban 159 – 12 Aprili, 238) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma, pamoja na mwana wake Gordian II, kuanzia 22 Machi, 238 hadi kifo chake. Walimfuata Maximinus Thrax ambaye waliasi dhidi yake.
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Gordian I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.