Go-Komatsu (1 Agosti 1377 1 Desemba 1433) alikuwa mfalme mkuu wa 100 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Motohito. Tangu 24 Mei 1382 alidai ufalme. Tarehe 21 Oktoba 1392 alimfuata Go-Kameyama, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe 5 Oktoba 1412. Aliyemfuata ni mwana wake, Shoko.

Thumb
Mchoro wa Go-Komatsu

Angalia pia

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Go-Komatsu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Wikiwand in your browser!

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.

Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.