Giulio Natta

Kemia wa Kiitaliano From Wikipedia, the free encyclopedia

Giulio Natta (26 Februari 19032 Mei 1979) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Italia. Hasa alichunguza ubunifu wa molekuli ndefu ili kuboresha plastiki. Mwaka wa 1963, pamoja na Karl Ziegler alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Giulio Natta kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

'

Ukweli wa haraka Amezaliwa, Amefariki ...
Giulio Natta
Mwanakemia Giulio Natta
Amezaliwa26 Februari 1903
Amefariki2 Mei 1979
Kazi yakemwanakemia kutoka nchi ya Italia
Funga

Wikiwand in your browser!

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.

Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.