From Wikipedia, the free encyclopedia
George Frideric Handel, jina lake kwa asili ya Kijerumani Georg Friedrich Händel (23 Februari 1685 – 14 Aprili 1759) alikuwa mtunzi maarufu wa opera kutoka nchini Ujerumani. Alizaliwa Ujerumani, lakini alitumia maisha yake ya ukubwani akiwa nchini Uingereza.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Georg Friedrich Händel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.