From Wikipedia, the free encyclopedia
Fuvu (pia "fuu") ni neno linalotumiwa hasa kuhusu mifupa ya kichwa cha binadamu na wanyama wengi ambayo ni maalumu kwa ajili ya kulinda ubongo.
Kila mwanadamu ana fuvu la kichwa; usingekuwa na fuvu usingeweza kuishi na kichwa kisingekuwa na umbo maalum.
Fuvu ni muhimu sana ili ubongo ufanye kazi yake vizuri. Maneno yanayo tumika kufafanua pande za fuvu utosi,kishogo na paji. Fuvu la nazi linaitwa zaidi kifuu.
Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Fuvu kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.