From Wikipedia, the free encyclopedia
Faharasa (pia faharisi, kutoka Kiarabu: الفهرس al-faharas; kwa Kiingereza: glossary, index) ni orodha ya mada au majina yaliyomo katika kitabu pamoja na kurasa vinapopatikana.
Inataja pia orodha ya maneno pamoja na maelezo mafupi ya maana yake. Inaweza kukusanya maneno mapya au magumu ya kitabu ambayo yanaelezwa maana zake. Faharasa kwa maana hiyo inapatikana kwa kawaida katika kurasa za mwisho za kitabu.
Faharasa inaweza kutaja pia orodha ya yaliyomo inayopatikana mara nyingi kwenye kurasa za mwanzo za kitabu, lakini inategemea desturi ya lugha husika.
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Faharasa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.