Salibu (kwa Kiingereza: en:Crux, au Southern Cross ) ni kundinyota mashuhuri yenye umbo la msalaba kwenye angakusi inayoonekana kutoka nusutufe ya kusini
jina la kundinyota kwenye angakusi ya Dunia yetu. Lipo jirani na Salibu (en:Crux) likiwa na nyota mashuhuri ya Rijili Kantori (en:Alpha Centauri) iliyo nyota
yetu. Lipo jirani na kundinyota la Mkuku (Carina) na si mbali na Salibu (Crux). Hadi karne 19 kundinyota hili lilitazamiwa kuwa sehemu ya kundinyota kubwa
umbali wa miakanuru 4.2. Inaonekana angani karibu na kundinyota la Salibu (Crux). Jina la Kiswahili ni Rijili Kantori linalotokana na ar. رجل القنطور rijil-al-qantur