From Wikipedia, the free encyclopedia
Carlo Cudicini (matamshi ya Kiitalia: [karlo kuditʃini]; amezaliwa Septemba 6 1973) ni mchezaji aliyestaafu wa soka wa Italia ambaye alicheza kama kipa.
Jinsia | mume |
---|---|
Nchi ya uraia | Italia |
Nchi anayoitumikia | Italia |
Jina halisi | Carlo |
Jina la familia | Cudicini |
Tarehe ya kuzaliwa | 6 Septemba 1973 |
Mahali alipozaliwa | Milano |
Baba | Fabio Cudicini |
Relative | Guglielmo Cudicini |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kiitalia |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | goalkeeper |
Muda wa kazi | 1995 |
Work period (end) | 2013 |
Coach of sports team | Chelsea F.C. |
Mchezo | mpira wa miguu |
Ligi | Ligi Kuu Uingereza, Major League Soccer |
Yeye ni mtoto wa kipa wa zamani wa AC Milan Fabio Cudicini na mjukuu wa mlinzi wa Ponziana Guglielmo Cudicini.
Cudicini sasa ni balozi wa klabu na msaidizi wa kocha wa timu ya kwanza huko Chelsea.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Carlo Cudicini kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.