From Wikipedia, the free encyclopedia
Buikwe (wakati mwingine hutamkwa Buyikwe) ni mji katika wilaya ya Buikwe, nchini Uganda. Ndio kitovu cha utawala cha wilaya na mahali yalipo makao makuu ya wilaya.
Majiranukta: 00°20′39″N 33°01′48″E | |
Country | Uganda |
---|---|
Region | Central Region |
District | Buikwe District |
County | Buikwe County |
Constituency | Buikwe South |
Serikali | |
- Member of Parliament | Lulume Bayigga |
Mwinuko | 4,045.9 ft (1,234 m) |
Idadi ya wakazi (2014 Census) | |
- Wakazi kwa ujumla | 18,500[1] |
Tovuti: Homepage |
Buikwe ipo takribani kilomita 67, kwa barabara, mashariki mwa Kampala, makao makuu ya nchi na jiji kubwa zaidi nchini Uganda. Mahali hapa ni takribani kilomita 11, kwa barabara, kusini mwa Luganzi, mji uliopo karibu zaidi. Majira nukta ya Halmashauri ya mji wa Buikwe ni 0°20'36.0"N, 33°01'44.0"E (Latitude:0.343333; Longitude:33.028889).
Buikwe ni miji mdogo uliopo kusini-mashariki mwa mkoa wa kati wa Uganda. Ndio chimbuko la timu ya mpira ya Nalubaale.[2]
Mnamo tarehe 27 August 2014, Sensa ya ilionesha Buikwe kuwa na idadi ya watu 16,633.[3] Mwaka 2015, Ofisi ya takwimu ya Uganda iliikadiria Buikwe kuwa na idadi ya watu 16,800.Mwaka 2020, ofisi ya takwimu ilikadiria idadi ya watu katikati ya mwaka kuwa ni 18,500, ambapo 9,700 (52.4%) walikuwa wanawake na 8,800 (47.6%) walikuwa wanaume. Ofisi ya takwimu ilikadiria kiwango cha ukuaji wa idadi ya watu katika mji huo kwa mwaka kuwa ni asilimia1.95, kati ya mwaka 2015 na 2020.[1]
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.