From Wikipedia, the free encyclopedia
Abraham "Bram" Stoker (8 Novemba 1847 – 20 Aprili 1912) alikuwa mtunzi wa riwaya na hadithi fupifupi kutoka nchini Ireland. Anafahamika zaidi leo hii kwa kutunga riwaya ya kutisha ya Dracula kunako miaka ya 1897.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bram Stoker kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.