Bouregreg (Kiarabu أبورقراق ou abou rāqrāq) ni mto wa Moroko mwenye urefu wa 240 km. Chanzo chake ni katika milima ya Atlas karibu na mlima wa Jebel Mtourzgane kwenye kimo cha 1627 m juu ya UB. Mdomo uko kati ya mji ya Rabat na Sale. Pande zote mbili za mdomo wa mto palikuwa eneo la Jamhuri ya Bou Regreg iliyojumlisha mjiji ya Rabat na Sale.

Ukweli wa haraka Mto wa Bou Regreg ...
Mto wa Bou Regreg
Thumb
Chanzo Jebel Mtourzgane kwenye Milima ya Atlas
Mdomo Atlantiki kwa miji ya Rabat na Sale
Nchi Moroko
Urefu 240 km
Kimo cha chanzo 1627 m
Mkondo kawaida 23 m³/s, hadi 1500 m³/s kutegemeana na majira na kiasi cha mvua njiani
Eneo la beseni 10,000 km²
Funga

Bouregreg ni kati ya mito mikubwa wa Moroko.

Wikiwand in your browser!

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.

Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.