From Wikipedia, the free encyclopedia
Bertrand Russell (18 Mei 1872 – 2 Februari 1970) alikuwa mwanafalsafa kutoka nchi ya Uingereza. Hasa aliandika kuhusu mantiki ya hisabati. Pia alifanya makampeni kwa ajili ya amani ya mataifa. Mwaka wa 1950 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bertrand Russell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.