Betirani (pia: Bertechramnus, Bertichramnus, Berticrannus, Bertrannus, Berthram, Bertram, Bertran, Bertrand; Autun, leo nchini Ufaransa, 540 - Le Mans, 623 hivi) alikuwa askofu wa Le Mans kuanzia mwaka 586 hadi kifo chake, isipokuwa katikati, alipofungwa gerezani na alipofukuzwa na serikali.
Anakumbukwa kama mchungaji aliyependa amani na kuwakirimu maskini na wamonaki[1]
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.