From Wikipedia, the free encyclopedia
Bernard Katz (26 Machi 1911 – 20 Aprili 2003) alikuwa mwanafiziolojia kutoka nchi ya Ujerumani. Wakati wa utawala wa Hitler alihamia Uingereza. Hasa alichunguza neva. Alipewa cheo cha "Sir" mwaka wa 1969. Mwaka wa 1970, pamoja na Ulf von Euler na Julius Axelrod alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bernard Katz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.