From Wikipedia, the free encyclopedia
Bartın ni mji uliopo nchini Uturuki. Kihistoria pia unajulikana kama Parthenios. Bartın ni mji wa Mkoa wa Bahari Nyeusi ya Uturuki. Mji una wakazi wapatao 182,131 (kwa hesabu ya sensa ya mwaka wa 2008). Wilaya za mjini hapa ni pamoja na Amasra, Ulus, Kurucaşile, na Bartın Merkez ambazo kila moja ni tofauti sana na nyingine.
Mkoa wa Bartın | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Bartın nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | [[Kanda ya {{{kanda}}}]] |
Eneo: | 2120 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 159,610 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 74 |
Kodi ya eneo: | 0378 |
Tovuti ya Gavana | http://www.bartin.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/bartin |
Jimbo la Bartın lina wilaya 4 (wilaya kuu zimewekewa koze):
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Bartın kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.