From Wikipedia, the free encyclopedia
Banks Island ni kisiwa kikubwa cha eneo la kaskazini mwa Northwest Territories (Kanada).
Kinapatikana katika Bahari ya Aktiki kikiwa na ukubwa wa kilometa mraba 70,028, ila wakazi ni 114 tu.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Banks Island kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.