Bahr al-Ghazal Kaskazini
From Wikipedia, the free encyclopedia
Bahr al Ghazal Kaskazini lilikuwa jimbo la Sudan. Kwa sasa ni jimbo la Sudan Kusini.


Usimamizi
Bahr al Ghazal ya Kaskazini, kama majimbo mengine nchini Sudan Kusini, imegawanywa katika kaunti; kuna kaunti tano, zinazoongozwa na Kamishna wa Kaunti.
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.