Babatunde Olatunji (April 7, 1927– April 6, 2003) alikuwa mpiga ngoma, mwalimu, mwanaharakati wa jamii mwenye asili ya Kinigeria. Olatunji alizaliwa katika kijiji cha Ajido, mji mdogo uliokaribu na Badagry, Lagos, mjini kusini magharibi mwa East midlands. Ana asili ya Wayoruba, Olatunji alianza kutambulishwa katika muziki wa asili ya Afrika akiwa katika umri mdogo kabisa. Alisoma habari za ufadhili wa kimasomo katika jarida la "Reader's Digest kuhusu Rotary International Foundation, kisha kuomba. Alienda Marekani mnamo mwaka wa 1950.
2000: Club Africa, Vol. 2: Hard African Funk, Afro-Jazz, & Original Afro-Beat
2000: Afeni Shakur Discusses "The Rose That Grew from Concrete, Vol. 1"
2005: Africa 100
2007: Global Drum Project– Mickey Hart, Zakir Hussain, Sikiru Adepoju, Giovanni Hidalgo (Shout! Factory)
2012: Mysterium Tremendum– Mickey Hart Band (360° Productions)
Musical Instruments of Africa: Their Nature, Use and Place in the Life of a Deeply Musical People (1965) with Betty Warner-Dietz. John Day Company OCLC: 592096