From Wikipedia, the free encyclopedia
Anfield ni uwanja wa mpira wa miguu uliopo huko Anfield, Liverpool. Anfield ni uwanja wa timu ya Liverpool F.C.. Uwanja huu una uwezo wa kubeba watu 53,394 na kuufanya kuwa uwanja wa sita kwa ukubwa Uingereza.
Pamekuwa nyumbani kwa Liverpool F.C. tangu mwaka 1892 ulipoanzishwa.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Anfield kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.