Alphonse Laveran

From Wikipedia, the free encyclopedia

Alphonse Laveran

Charles Louis Alphonse Laveran (18 Juni 1845 18 Mei 1922) alikuwa daktari kutoka nchi ya Ufaransa. Hasa alichunguza virusi visababishavyo magonjwa mbalimbali. Aligundua kirusi kinachosababisha malaria. Mwaka wa 1907 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alphonse Laveran kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Alphonse Laveran

Wikiwand in your browser!

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.

Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.