Abumedi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Abumedi (alifariki katika kisiwa cha Tenedos, leo nchini Uturuki, karne ya 4) alikuwa Mkristo aliyeuawa kutokana na imani yake wakati wa dhuluma ya Dola la Roma, ama chini ya kaisari Dioklesyano ama chini ya Juliani Mwasi, kwa sababu alikataa kula nyama iliyotolewa sadaka kwa miungu [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.