From Wikipedia, the free encyclopedia
Zonguldak ni mji na ndiyo mji mkuu wa Mkoa wa Zonguldak katika kanda ya Bahari Nyeusi nchini Uturuki. Idadi ya wakazi wanaoishi mjini hapa ni 104,276 ambayo ilihesabiwa mnamo mwaka wa 2000. bandari muhimu ya Bahari Nyeusi, na ni maarufu kwa ajili ya migodi ya koli.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Zonguldak kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.