From Wikipedia, the free encyclopedia
Zaire ni jina la mkoa wa kaskazini-magharibi nchini Angola wenye eneo la km² 40,130 na wakazi 600,000.
Mkoa umepakana na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo iliyoitwa "Zaire" hadi 1997. Mipaka mingine ni mikoa ya Uige upande wa mashariki, Cuanza Norte upande wa kusini na Bahari Atlantiki upande wa magharibi.
Makako makuu ni mji wa M'banza-Kongo. Miji mingine ni Soyo kwenye mdomo wa mto Kongo, Tomboco, N'Zeto kwenye mdomo wa mto Mebridege na Noqui kando la Matadi kwenye mpaka wa Kongo.
Uchumi ni hasa kilimo na uvuwi pamoja na migodi, kuchimba madini na mafuta ya petroli.
Bengo | Benguela | Bié | Cuando Cubango | Cuanza Kaskazini | Cuanza Kusini | Cunene | Huambo | Huíla | Kabinda | Luanda | Lunda Kaskazini | Lunda Kusini | Malanje | Moxico | Namibe | Uíge | Zaire |
Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Zaire (mkoa) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.