Yusef Komunyakaa
From Wikipedia, the free encyclopedia
Yusef Komunyakaa (amezaliwa 29 Aprili 1941) ni mshairi kutoka nchi ya Marekani. Jina lake la kuzaliwa ni James William Brown. Mwaka wa 1994 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.