Yosefu FlaviusFrom Wikipedia, the free encyclopedia Yosefu Flavius (jina la awali יוסף בן מתתיהו, Yosef bin Matityahu, 37-100 BK) alikuwa kuhani Myahudi mwenye kujua Kiaramu, Kiebrania na Kigiriki, aliyejipatia umaarufu kama mwanahistoria. Yosefu Flavius.
Yosefu Flavius (jina la awali יוסף בן מתתיהו, Yosef bin Matityahu, 37-100 BK) alikuwa kuhani Myahudi mwenye kujua Kiaramu, Kiebrania na Kigiriki, aliyejipatia umaarufu kama mwanahistoria. Yosefu Flavius.