From Wikipedia, the free encyclopedia
Woga ni tabia ya kupatwa na hofu kupita kiasi inayokuwa ndani ya binadamu kwa sababu ya kitu au vitu fulanifulani. Wakati hofu ni ono la kawaida kwa binadamu na kwa wanyama wengi, woga ni tatizo la kisaikiolojia.
Kila mtu anaweza akawa na woga wake, huenda ukawa juu ya Mungu, malaika, shetani, roho, lakini pia juu ya mnyama, mahali, kifo, mauaji, giza n.k.
Saikolojia inaweza kumsaidia mtu kujitawala asije akashindwa na tabia hiyo hata kutotimiza majukumu yake maishani.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.