From Wikipedia, the free encyclopedia
Hii ni orodha ya Wizara za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Orodha hii inahusisha wizara zote pamoja na zile ambazo hazipo katika masuala ya Muungano.
Kuhusu mawaziri waliopo angalia: Baraza la mawaziri Tanzania.
Wizara | Kiingereza | Tovuti |
---|---|---|
Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora | President’s Office Public Service Management and Good Governance | https://www.utumishi.go.tz/index.php/sw Archived 19 Novemba 2021 at the Wayback Machine. |
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa | President's Office Regional Administration and Local Government | https://www.tamisemi.go.tz/ |
Ofisi ya Makamu wa Rais | Vice President's Office | https://www.vpo.go.tz/ |
Ofisi ya Waziri Mkuu | Prime Minister's Office | https://www.pmo.go.tz/ |
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto | Ministry of Health, Community Development, Gender, Elderly and Children | https://www.moh.go.tz/sw/ |
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi | Ministry of Lands, Housing and Human Settlements Development | https://www.lands.go.tz/ |
Wizara ya Elimu, Sayansi naTeknolojia | Ministry of Education, Science and Technology | https://www.moe.go.tz/sw |
Wizara ya Fedha na Mipango | Ministry of Finance and Planning | https://www.mof.go.tz/ |
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo | Ministry of Culture, Arts and Sports | https://www.habari.go.tz/ Archived 19 Novemba 2021 at the Wayback Machine. |
Wizara ya Kilimo | Ministry of Agriculture | https://www.kilimo.go.tz/index.php/sw |
Wizara ya Maji | Ministry of Water | https://www.maji.go.tz/ |
Wizara ya Maliasili na Utalii | Ministry of Natural Resources and Tourism | https://www.maliasili.go.tz/ |
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi | Ministry of Home Affairs | https://www.moha.go.tz/ |
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki | Ministry of Foreign Affairs and East African Co-operation | https://www.foreign.go.tz/ |
Wizara ya Mifugo na Uvuvi | Ministry of Livestock and Fisheries | https://www.mifugouvuvi.go.tz/ |
Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi | Ministry of Works and Transport | https://www.mwt.go.tz/ |
Wizara ya Nishati | Ministry of Energy | https://www.nishati.go.tz/ |
Wizara ya Sheria na Katiba | Ministry of Constitutional and Legal Affairs | https://www.sheria.go.tz/ |
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa | Ministry of Defence and National Service | https://www.modans.go.tz/ |
Wizara ya Madini | Ministry of Minerals | https://www.madini.go.tz/ |
Wizara ya Viwanda na Biashara | Ministry of Industry and Trade | https://www.mit.go.tz/ |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.