uwekezaji Ni kitendo Cha kuwekeza rasilimali mbalimbalikwa ajili ya manufaa ya baadae. From Wikipedia, the free encyclopedia
Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji (kwa Kiingereza: Ministry of Industry, Trade and Investment) ni wizara mojawapo ya serikali ya awamu ya tano nchini Tanzania.
Wizara ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji English: Ministry of Industry,business and Investments | |
---|---|
Mamlaka | Tanzania |
Makao Makuu | Samora Avenue, Dar es Salaam |
Waziri | Ashantu Kijaji |
Naibu Waziri | Exaud Kigahe |
Katibu Mkuu | Hashil T. Abdallah |
Tovuti | mem.go.tz |
Rais John Pombe Joseph Magufuli ndiye aliyeanzisha wizara hii, ambayo hapo awali iliitwa Wizara ya Viwanda, Biashara na Masoko.
Ofisi kuu ya wizara hii ipo jijini Dar es Salaam.
Serikali ya Tanzania inatakiwa kuongeza viwanda ili watu wapate ajira kama mataifa mengine.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.