Wilaya ya Telšiai
From Wikipedia, the free encyclopedia
Wilaya ya Telšiai (Kilithuania: Telšių apskritis) ni moja ya wilaya 10 ya kujitawala ya Lituanya. Idadi ya wakazi wake ni takriban 180,000. Mji wake mkuu ni Telšiai.