Jimbo la Sassandra-Marahoué
From Wikipedia, the free encyclopedia
Jimbo la Sassandra-Marahoué (kwa Kifaransa: District de Sassandra-Marahoué) ni moja kati ya majimbo 14 za nchini Cote d'Ivoire. Iko magharibi mwa nchi[1].
Ukweli wa haraka Nchi, - Wakazi kwa ujumla ...
Jimbo la Sassandra-Marahoué | |
Eneo katika Côte d'Ivoire |
|
Majiranukta: 7°3′18″N 6°20′12″W | |
Nchi | Cote d'Ivoire |
---|---|
Jimbo | Sassandra-Marahoué |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 2,293,304[1] |
Funga
Mwaka 2014, (Sensa ya Cote d'Ivoire ya 2014) idadi ya wakazi ilikuwa watu 2,293,304[1].
Makao makuu yako Daloa.