Wilaya ya Gbéléban
From Wikipedia, the free encyclopedia
Wilaya ya Gbéléban (kwa Kifaransa: département de Gbéléban) ni moja kati ya Wilaya tano za Mkoa wa Kabadougou ulioko Kaskazini magharibi mwa Cote d'Ivoire.
auto
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Wilaya ya Gbéléban | |
Eneo la Wilaya ya Gbéléban. | |
Nchi | Cote d'Ivoire |
---|---|
Jimbo | Denguélé |
Mkoa | Kabadougou |
Serikali[1] | |
- Prefect | Yao Brou |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 18,181 |
GMT | (UTC+0) |
Funga
Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 18,181.
Makao makuu ya eneo hilo ni Gbéléban.
Wilaya ya Gbéléban sasa imegawanywa katika tarafa zifuatazo: