From Wikipedia, the free encyclopedia
Wikipedia ya Kipoland (Kipoland: Wikipedia polskojęzyczna) ni toleo la kamusi elezo ya Wikipedia kwa lugha ya Kipoland. Wikipedia ya Kipoland, ni toleo la tisa la Wikipedia. Ilianzishwa tarehe 26 Septemba 2001.
Kisara | http://pl.wikipedia.org/ |
---|---|
Ya kibiashara? | Hapana |
Aina ya tovuti | Mradi wa Kamusi Elezo ya Interneti |
Kujisajiri | Hiari |
Lugha asilia | Kipoland |
Mmiliki | Wikimedia Foundation |
Imeanzishwa na | 26 Septemba 2001 |
Mwezi wa Mei 2008 ilifikisha makala zaidi ya 500,000, na kuifanya iwe toleo la nne kwa ukubwa baada ya Wikipedia kwa Kiingereza, Kijerumani, na Kifaransa.
Tarehe 24 Septemba 2013 ilifikia nakala 1,000,000.
Hii ni toleo kubwa la Wikipedia katika orodha ya lugha za Kislavoni kwa idadi ya makala.
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wikipedia ya Kipoland kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.