Wikipedia ya Kifini
From Wikipedia, the free encyclopedia
Lua error in package.lua at line 80: module 'Module:Navbar/configuration' not found.
Wikipedia ya Kifini ni tole la kamusi elezo huru ya Wikipedia kwa lugha ya Kifini. Kwa hesabu ya makala, hii ni Wikipedia ya 13 kwa ukubwa na wingi wa makala zaidi ya 199,000, zilizofikishwa mnamo tar. 3 Aprili 2009.
Mradi wa Wikipedia ya Kifini, ulianzishwa mwishoni mwa mwaka wa 2002, lakini ilibaki na ngazi iliododa hadi hapo ilipofika mwaka wa 2003. Kasi ya kukuza mradi huu iliongozeka baada ya kubadilishwa kwa bidhaa pepe ya MediaWiki kuwa katika hali ya III na hiyo ilikuwa mwishoni mwa mwezi Novemba 2003, na ikaendelea kuongezeka hadi kunako mwaka wa 2004.