Wikipedia ya Kifaransa
From Wikipedia, the free encyclopedia
Wikipedia ya Kifaransa (Kifaransa:Wikipédia francophone, Wikipédia en français) ni toleo la kamusi elezo ya Wikipedia kwa lugha ya Kifaransa, inaandikwa Wikipédia. Wikipedia ya Kifaransa ilianzishwa mnamo mwezi Machi, 2001. Toleo hili lina makala zaidi ya lakhi 750,000 kwa mwezi wa Januari, 2009, na kuifanya iwe toleo la Wikipedia ya tatu kwa ukubwa baada ya Wikipedia ya Kiingereza na Wikipedia ya Kijerumani. Hata hivyo, ni Wikipedia ya kwanza kwa ukubwa katika orodha ya Lugha za Kirumi.
Ukweli wa haraka Aina ya tovuti ...
Aina ya tovuti | Mradi wa Kamusi Elezo ya Interneti |
---|
Funga