Washington (maana)
ukarasa wa maana wa Wikimedia / From Wikipedia, the free encyclopedia
Washington ni jina linalotaja mahali na watu mbalimbali duniani.
Jina limejulikana hasa kutokana na
- Washington D.C. ambayo ni mji mkuu wa Marekani
- George Washington aliyekuwa rais wa kwanza wa nchi ile
- Washington (jimbo) ni jimbo la Marekani kando la Pasifiki.