Wahamaji
From Wikipedia, the free encyclopedia
Wahamaji ni watu wasio na makao ya kudumu ama kwa sababu ya kuwa wawindaji-wakusanyaji, ama kwa kuwatimizia mahitaji mifugo yao katika mazingira magumu, ama kwa sababu wanazunguka daima kuuza bidhaa zao.