Vietnam
Nchi katika Asia ya Kusini-Mashariki / From Wikipedia, the free encyclopedia
Vietnam (Việt Nam - 越南) ni nchi ya Asia ya Kusini-Mashariki.
Ukweli wa haraka
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: 獨立自由幸福 Độc lập – Tự do – Hạnh phúc (Uhuru, Huria, Heri) | |||||
Wimbo wa taifa: Tiến Quân Ca | |||||
Mji mkuu | Hanoi 21°2′ N 105°51′ E | ||||
Mji mkubwa nchini | Mji wa Ho Chi Minh (Saigon) | ||||
Lugha rasmi | Kivietnam | ||||
Serikali | Jamhuri, chama kimoja 1 Nguyễn Phú Trọng Nguyễn Phú Trọng Nguyễn Xuân Phúc | ||||
Uhuru Kutoka China (mapigano ya Bach Dang) Kutoka Ufaransa Ilitambuliwa |
938 2 Septemba 1945 1954 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
332,698 km² (ya 65) 6.4 | ||||
Idadi ya watu - Julai 2014 kadirio - 1999 sensa - Msongamano wa watu |
90,630,000 (ya 13) 76,323,173 273.11/km² (ya 46) | ||||
Fedha | Dong ya Vietnam (₫) (VND ) | ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+7) (UTC+7) | ||||
Intaneti TLD | .vn | ||||
Kodi ya simu | +84
- |
Funga
Imepakana na China, Laos na Kambodia.
Mji mkuu ni Hanoi lakini mji mkubwa ni Mji wa Ho Chi Minh (zamani: Saigon).